Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Umecheki hapo mlangoni eeh.Inaonesha kuta za Ikulu ni nene sana
Hebu fafanua kwa faida ya wengiWeka akiba ya maneno, utakuja kunishukuru siku si nyingi. Anyways, tuchape kazi kwa bidii, tulijenge taifa letu zuri la Tanzania.
Nilikimuona Tu nafarijikaWadau wa JF
Ninafuraha na amani kubwa nimuonapo
Malendo Nambari Moja akichapa kazi
Matokeo ya haraka
Matumizi sahihi ya Rasilimali zetu
KaziIendelee
Hongera sana Kiongozi wetu Mkuu
View attachment 1822086
Hebu fafanua kwa faida ya wengi
Roho inakuuuuuuumaaaaaaa ukiona anasifiwa eeeenh. Kunywa maji ya vugu vugu huwa yanapunguza kimuhe muhe.Weka akiba ya maneno, utakuja kunishukuru siku si nyingi. Anyways, tuchape kazi kwa bidii, tulijenge taifa letu zuri la Tanzania.
Roho inakuuuuuuumaaaaaaa ukiona anasifiwa eeeenh. Kunywa maji ya vugu vugu huwa yanapunguza kimuhe muhe.
Roho inakuuuuuuumaaaaaaa ukiona anasifiwa eeeenh. Kunywa maji ya vugu vugu huwa yanapunguza kimuhe muhe.
Bila ufafanuzi wa kina utasalia kuwa mpinga maendeleoI thought mlikataa habari za misifa, ama ni mwendo wa madarasa mawili (double standard)!??? On a serious note: Unajua mtu kusifiwa, inategemea na yule anayesifu kwamba ni nani hasa, sawa!??? All I'm asking, wekeni akiba ya maneno, mtakuja kunishukuru muda si mrefu.