Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,734 Reaction score 140,476 Oct 5, 2025 #1 Your browser is not able to display this video. Mimi ni mpenzi wa Rap, ndio mziki unaosuuza moyo wangu sana kuliko miziki yeyote ya kidunia. Nilikuwa kila nikisikia habari za Chid Benz na Jose Mtambo nasikitika sana. Sababu hawa ndio watu nilioona wana vibaji halisi na sio kubebwa. Sasa Chid karudi, nimefarijika sana
Your browser is not able to display this video. Mimi ni mpenzi wa Rap, ndio mziki unaosuuza moyo wangu sana kuliko miziki yeyote ya kidunia. Nilikuwa kila nikisikia habari za Chid Benz na Jose Mtambo nasikitika sana. Sababu hawa ndio watu nilioona wana vibaji halisi na sio kubebwa. Sasa Chid karudi, nimefarijika sana
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,398 Reaction score 102,530 Oct 5, 2025 #2 Chid benzi fundi, ukisikiliza raha za Dunia una weza sema alikuwa ana mwimbia demu kumbe kitu kingine kabisa.
Chid benzi fundi, ukisikiliza raha za Dunia una weza sema alikuwa ana mwimbia demu kumbe kitu kingine kabisa.
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 17,595 Reaction score 39,893 Oct 5, 2025 #3 Intelligent businessman said: Chid benzi fundi, ukisikiliza raha za Dunia una weza sema alikuwa ana mwimbia demu kumbe kitu kingine kabisa. Click to expand... Kitu kingine kipi ?
Intelligent businessman said: Chid benzi fundi, ukisikiliza raha za Dunia una weza sema alikuwa ana mwimbia demu kumbe kitu kingine kabisa. Click to expand... Kitu kingine kipi ?
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,398 Reaction score 102,530 Oct 5, 2025 #4 adriz The Consigliere said: Kitu kingine kipi ? Click to expand... Ana uwezo mkubwa wa kufanya interview, he ain't boring.
adriz The Consigliere said: Kitu kingine kipi ? Click to expand... Ana uwezo mkubwa wa kufanya interview, he ain't boring.