Nafasi 3 za kazi katika kituo cha massage

Status
Not open for further replies.

D Vice

Member
Joined
Sep 24, 2018
Posts
59
Reaction score
40
Kazi ni massage service.

Sifa za waombaji

1. Awe msichana kuanzia miaka 18 hadi 30.

2. Awe ana ujuzi wa massage na urembo (beauty therapy)

3. Awe mkazi wa dar es salaam, ikiwa anaishi mikocheni,sinza,mbezi beach,kijotonyama,kawe atapewa kipaumbele.

4. Awe tayari kufanya kazi bila msukumo.

5. Ajue kizungu kidogo kuweza kuzungumza na wateja.

★eneo la kazi ni mikocheni

Mshahara kwa mwezi ni tsh 250,000/= na kuendelea, kulingana na kazi uifanyayo.

Chakula cha asubuhi na mchana kinapatikana ofisini.

Wahudumu wanaohitajika ni watatu (3) tu.

Kuomba nafasi hii bonyeza link hapo chini

Jobsfacilitators@gmail.Com
 
Iv Wanawake wanao itaji massage hamna Mim npo natoa huduma kwa wanawak
 
Na wewe toa tangazo waje kuomba ..kwanza una ofisi na kampun yako imesajiliwa na brela?? Madawa na vitu unavyotumia kwa ajili ya hio shuhuli vimehakikiwa na TFDA?? Watu wa wizara ya afya wamekuja kufanya checkup ..watu wa fire extinguisher wamekuja kufanya checkup? Una lesen ya biashara..una TIN number ya mlipa kodi halali..

Duuuh
 
huyu jamaa kila mda anatangaza nafasi za kazi, vipp boss wadada hawakai sana hapo ofisinii nini,huenda hamuatendei haki nini, samahani mkuu,kwa mashaka niliyonayo
 
Sisi tu

Sisi hatuna ofisi za massage. Sisi tunamuunganisha muajiri kwa muajiriwa . Hivyo ni kazi yoyote tunafanya connections kati ya muajiri na muajiriwa. Asante.
 
Wasenge nyie , nyie ndio mnanyonya watu na kugeuza watoto wa wenzenu madanguro
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom