nafasi 50 za kazi afisa mauzo

nafasi 50 za kazi afisa mauzo

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506
African Life Assurance company limited inatangaza nafasi 50 za afisa mauzo(sales executives) kwa
matawi yake ya dar, arusha mwanza na zanzibar
sifa za mwombaji
..cheti chakidato cha nne au sita
...cheti cha diploma utawala wa biashara,masoko,mauzo,a mbadala
...cheti cha bima(COP) kinapendelewa
...uwezo wa kufanya hesabu kwa usahihi
...uwezo wa kufanya kazi tawi lililo karibu na makazi yake

TUMA MAOMBI KWA:
MENEJA RASILIMALI WATU NA UTAWALA,
AFRICAN LIFE ASSURANCE(T) LTD,
P.O BOX 22229,
MTAA WA OHIO , JENGO LA AMANI PLACE GHOROFA YA 9,
DAR ES SALAAM
EMAIL:recruitment@aflife.co.tz
au piga simu namba 022-2127151-4
deadline 5 december 2011
nb
tembelea "http://www.vijanatz.com/tz/jobs/wp-content/uploads/2011/11/110.jpg" ni image ya kuskan ndo maana nimeshindwa kukopi na kupesta huku inagoma ila kama uko seriouz hebu jaribu kuangalia mwenyewe hasa kwa mabo kama email na anuani isje kuwa kuna typing error afu ukawa ume send kwa mtu hewa..
 
Safi sana, mjulisheni na Dr Dr Dr Dr Dr Kikwete ili ajumlishe na hizi ajira 50 katika zile milioni moja alizoahidi 2005 halafu wakajumlisha hadi wasukuma mikokoteni na waendesha guta lakini hazikufika 1M.
 
attachment.php
 
Sijui kama hawa jamaa wamejirekebisha lakini African life huwa wanawanyonya sana sales exercutives wao.
Nakumbuka mwaka juzi mshahara ulikuwa ni Tsh 75,000/= kwa nafasi hiyo.
Unyanyasaji ndio mahala pake pale.
 
zubeda ni december 2011 bana sory for typing error ndo maana nikasistiza watu watembelee original site ya tangazo
labda kwa wale wanaotumia simu ndo shida hapo....
 
Back
Top Bottom