Jospina JF-Expert Member Joined Apr 19, 2013 Posts 2,421 Reaction score 1,395 Nov 5, 2018 #1 "Kila mechi tunatengeneza nafasi za kufunga lakini kama washambuliaji hawafungi tutafanyaje? Mfano nafasi aliyopoteza Makambo kwa kichwa pale hata mama yangu angeweza kufunga,” Mwinyi Zahera -Kocha mkuu wa Klabu ya Yanga
"Kila mechi tunatengeneza nafasi za kufunga lakini kama washambuliaji hawafungi tutafanyaje? Mfano nafasi aliyopoteza Makambo kwa kichwa pale hata mama yangu angeweza kufunga,” Mwinyi Zahera -Kocha mkuu wa Klabu ya Yanga
share JF-Expert Member Joined Nov 22, 2008 Posts 6,064 Reaction score 10,468 Nov 5, 2018 #2 Tuwekee video clip.
kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,746 Reaction score 2,924 Nov 5, 2018 #3 .duu kweli kasema hayo?au umenogesha habari
Onduru Ogy JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 1,136 Reaction score 1,179 Nov 5, 2018 #4 Namshauri amsajili mama yake yanga akafunge kwa vichwa
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Nov 5, 2018 #5 Mama Mwinyi
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Nov 5, 2018 #6 Wabongo wanautani mbaya eti...kama Makambo anashindwa hata kufunga mdomo wake ataweza kufunga goli?kama una roho ndogo bongo huwezi kucheza
Wabongo wanautani mbaya eti...kama Makambo anashindwa hata kufunga mdomo wake ataweza kufunga goli?kama una roho ndogo bongo huwezi kucheza
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,057 Reaction score 39,387 Nov 5, 2018 #7 makambo haniwezi hata Mimi mazoezi ya wiki moja tu yanatosha
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Nov 5, 2018 #8 ila Siku ile Simba wanakosa magoli na yanga ulisifu mbinu zako, makambo hajashindwa kufunga bali mbinu za ndanda zilikuwa juu zaidi ya yanga
ila Siku ile Simba wanakosa magoli na yanga ulisifu mbinu zako, makambo hajashindwa kufunga bali mbinu za ndanda zilikuwa juu zaidi ya yanga
kijana wa leo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2011 Posts 2,921 Reaction score 7,173 Nov 5, 2018 #9 rodrick alexander said: ila Siku ile Simba wanakosa magoli na yanga ulisifu mbinu zako, makambo hajashindwa kufunga bali mbinu za ndanda zilikuwa juu zaidi ya yanga Click to expand... Umeongea kimpira with evidence.
rodrick alexander said: ila Siku ile Simba wanakosa magoli na yanga ulisifu mbinu zako, makambo hajashindwa kufunga bali mbinu za ndanda zilikuwa juu zaidi ya yanga Click to expand... Umeongea kimpira with evidence.