"nafasi aliyopoteza Makambo kwa kichwa pale hata mama yangu angeweza kufunga,” Kocha Zahera

"nafasi aliyopoteza Makambo kwa kichwa pale hata mama yangu angeweza kufunga,” Kocha Zahera

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
"Kila mechi tunatengeneza nafasi za kufunga lakini kama washambuliaji hawafungi tutafanyaje? Mfano nafasi aliyopoteza Makambo kwa kichwa pale hata mama yangu angeweza kufunga,”

Mwinyi Zahera
-Kocha mkuu wa Klabu ya Yanga
 
makambo haniwezi hata Mimi
mazoezi ya wiki moja tu yanatosha
 
Back
Top Bottom