Huyo ametukosesha magoli mawili ya wazi Kwa ubinafsi wake wa kutaka kufunga yeye mwenyewe wakati hayupo katika nafasi nzuriJapo Kibu hana akili ya mpira lakini anakupatia kitu kinaitwa work rate. Yaani akiwepo uwanjani anakuwa na pilikapilika nyingi ambazo zinaweza kuleta matokeo chanya...
Kwa hiyo unataka kibu acheze namba 9?Huyo ametukosesha magoli mawili ya wazi Kwa ubinafsi wake wa kutaka kufunga yeye mwenyewe wakati hayupo katika nafasi nzuri
Hayo Kibu miye siyajui, nalia na SamataKwa hiyo unataka kibu acheze namba 9?
Je huko simba huwa mnamchezesha namba 9?
Tangu game ya kwanza mimi nilikuwa nalia na kukosekana kiungo mchezeshaji kwa sababi viungo waliopo ni viungo wakabji-mudathiri, himid, mzamiru. Pale alitakiwa awepo mtu kama sure boy ili hao kina Samata na Msuva wapate mipiraKwa hiyo unataka kibu acheze namba 9?
Je huko simba huwa mnamchezesha namba 9??
Acha kuongea ushabiki nakuanza kumlaumu mtu kiufupi timu bovu lile mzee hakuna namba kumi mzuri aliyekua analisha mipira
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Alimaanisha false 9Kwa hiyo unataka kibu acheze namba 9?