Nafasi Chuo cha Ualimu

Enny

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
962
Reaction score
130
Wakubwa natafuta nafasi ya mdogo wangu wa kike chuo cha ualimu , naomba msaada kwa anayejua wapi na namna ya kuomba nafasi.
 
nataka Government
 
Masomo gani? kwa level ip cheti, stashahada au shahada
 
Maombi kwa vyuo vya ualimu kwa ngazi ya cheti na stashahada hupitia wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi stadi.
unaandika barua kwa mkurugenzi.
 
Jaman hata mim nina shida katika hili swala. Je maombi yana anza kutumwa lini? Na kwa huu mfumo mpya wa division mwombaj anatakiwa awe na sifa zipi?? (Katika ngaz ya cheti)
 
Maombi kwa vyuo vya ualimu kwa ngazi ya cheti na stashahada hupitia wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi stadi.
unaandika barua kwa mkurugenzi.

Mkurugenzi yupi tena mkuu? hapo umepiga kamba inatakiwa aandike barua kwa Katibu mkuu wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi SLP 9121 Dar es salaam.
 
Kwahaya matokeo ya mwaka huu nipeni sifa awe matokeo gani kwahiyo asomee ualimu daraja la 3 A.
 
Samahan wadau! mimi matokeo yangu ni div.4 point 32...masomo niliyofaulu ni english C na kiswhili B na niliyofeli ni mathematics F na chemistry E yaliyobaki yote D" nami nataka kusoma ualimu hata ikiwa private naomba mnisaidie kunitajia vyuo vya private kwa "day" vyenye gharama nafuu na kama tangazo la wizara likitoka mtujuze mtakao wahi kulisikia ...
 
nameona wameshatoa vigezo jaribu kutembelea website yao ya moe.go.tz kwa mwaka jana watachkua kuanzia division 4 ya 33 na 34
 

Wizara imetoa matangazo na. kwa matokeo yako unasifa.omba online au andika barua.Tembelea web ya wizara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…