Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakubwa natafuta nafasi ya mdogo wangu wa kike chuo cha ualimu , naomba msaada kwa anayejua wapi na namna ya kuomba nafasi.
Wakubwa natafuta nafasi ya mdogo wangu wa kike chuo cha ualimu , naomba msaada kwa anayejua wapi na namna ya kuomba nafasi.
Maombi kwa vyuo vya ualimu kwa ngazi ya cheti na stashahada hupitia wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi stadi.
unaandika barua kwa mkurugenzi.
Mkurugenzi yupi tena mkuu? hapo umepiga kamba inatakiwa aandike barua kwa Katibu mkuu wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi SLP 9121 Dar es salaam.
Samahan wadau! mimi matokeo yangu ni div.4 point 32...masomo niliyofaulu ni english C na kiswhili B na niliyofeli ni mathematics F na chemistry E yaliyobaki yote D" nami nataka kusoma ualimu hata ikiwa private naomba mnisaidie kunitajia vyuo vya private kwa "day" vyenye gharama nafuu na kama tangazo la wizara likitoka mtujuze mtakao wahi kulisikia ...