Wazazi na walezi lazima ifike kipindi muache kuangalia watoto wenu wamekuwa wangapi katika mitihani yao bali mnatakiwa kuangalia watoto wenu wamepata daraja gani katika matokeo yao.
Tabia ya kuangalia mtoto ameshika nafasi ya ngapi darasani imekuwa endelevu kwa miaka mingi sasa wazazi wengi wameshindwa kubadilika na tabia hii.
Mfano unaweza kuta mwanao wa sekondari kapata Daraja 4(28) na akawa wa kwanza darasani kwao nawe mzazi au mlezi ukajisifia Mwanangu akongoza darasani kwao,kumbe kaongoza wajinga wenzie ila ukiangalia daraja unaweza kujua madhaifu ya mwanao.
Pia unaweza kukuta mzazi au mlezi anamsema au hata kumchapa mwanae kwa kashuka nafasi darasani kwao yaani kama alikuwa wa 12 sasa kawa 17 bila kuangalia daraja alilopata Mtoto pengine kapanda daraja la ufaulu.
Wazazi na walezi sasa ni lazima mbadilike na ni muhimu kujua kiwango cha ufaulu kinachohitajia ili kumfanya mwanao afaulu kwenda mbele kutoka hatua moja kwenda hatua nyengine na sio kungalia watoto wenu wameshika nafasi ipi.
Wahimizeni watoto waongeze wastani wa ufaulu, nafasi ya darasani aiwezi kumfusha mwanao kutoka hatua moja kwenda hatua nyengine bala daraja la ufaulu.

Upvote
0