Nafasi mpya za kazi ajira portal

Nafasi mpya za kazi ajira portal

SamuraiJack

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2017
Posts
462
Reaction score
740
Habari wakuu, kuna mdogo wangu mmoja ametoka kuitwa kwenye oral interview ya nafasi fulani kupitia ajira portal, ananimbia amesikia "ukiitwa ajira portal kwenye oral interview" lile swali la tell us about yourself linabeba marks 50?

Je ni kweli? Na kama kajibu vizuri kuna chances za kupita?
 
Mi nilisha jieleza kitambo, yaani kama maisha ni movie basi mi ni rambo.

atapita akijibu technically, sio social
Nakubali, na ni kweli ni 50 marks? Kwa hiyo mtu akijibu hilo swali vizuri tu in a technical perspective wanampitisha bila kuyapa uzito maswali mengine?
 
Marks 50? Muongo.

Oral ina marks 100. Kutegemea na nature ya kazi, wanapita kuanzia wenye 60 kwa kawaida ila kuna kada iwe 70 au 80, mfano walimu wa vyuo.

Ilo swali ndio swali la kwanza ni kweli, ila marks zake ni 10 sana sana. Na wanapima vitu hivi: lugha ya kiingereza, confidence, unachosema (ambayo ni academic na work history yako), muonekano kama kunyoa, nguo etc na vitu kama ivo. Kwahiyo jiepuse na kuongea kama Black American, kuvaa kiuni unakuta suruali bila mkanda, vitu kama cheni au bracelet au ear rings kwa wanaume etc.

Marks 90 ziliobaki nyingi nj technical, ila sometimes maswali ata hayahusiani na ulichosoma darasani. Labda nitoe mfano:

Interview ya mwalimu wa chuo (assistant lect) wa somo Mechanical Eng, hafu unaulizwa Utadeal vipi na wanafunzi wazito kuelewa? Au wagumu kuingia vipindi? Kwahiyo ni common sense tu.

Kingine jitahidi usiache swali eti kujifanya ukiwa mkweli watakuonea huruma. Never. Bora useme seme tu eti sio “to be honest I dont know” nyokooo.

Chengine wakisema “mention 5 problems..” au 3 factors au 7…. Jitahidi uzitaje izo idadi. Maana kwneye marking scheme anakua na izo au zaidi kwahiyo kutaja taja randomly inakupa chance ya ww kupata.

Pia kama una ulemavu wowote mfano kusikia, waambie mapema, utapewa added advantages.

Na mwisho, kama pannel ina watu let’s say 5 inamaana swali moja wote wanakupa marks kila mtu kwa jinsi alivokuelewa majibu yako. Ukitoka nje wana dicuss, mfano swali lina marks 10, ukitoka wanauliza Mad Max umempa ngp, unakuta nasema 7, Mero ngapi 6, Mshana 8, Mwingine 7 hafu anatokea mmoja anasema 2, hapo lazima muongee mwenye 2 apande juu au wengine mshuke, mara nyingi uliekua nje ya range ndio utapanda aunutashuka, unless utoe sababu strong uwashushe/uwapandishe wengi.

Finally finally, wale watu ni honestly sana. Sana. Na pannel inakua na professional mbalimbali, kutoka utumishi anakuaga mmoja mara nyingi kwajili ya quality assurance wengine wametoka ofisi mbalimbali.
 
Halafu utasikia dunia yetu sote, kumbe mko kwenye pay roll.
 
Kwenye 5 points nimetaja randomly bila kusema mfano first, second nk na sina uhakika kama zimefika
 
Yale maswali ni simple sana lkn kutokana na ufinyu wa kile chumba ni magumu hatari yani ile kufikiria points huku mtu anakuangalia ni kazi sana
 
Back
Top Bottom