Nafasi mpya za kazi ajira portal

Kwenye 5 points nimetaja randomly bila kusema mfano first, second nk na sina uhakika kama zimefika
Sasa itategemea na swali. Kama sio la steps shwari tu. Mfano taja factors leads to road projects failure. Ilo halihitaji ya kwanza wala ya pili, ila mfano: mention steps followed during preparation of BOQ; ili lina steps, kwahiyo lazima 1,2,3..
 
Sasa itategemea na swali. Kama sio la steps shwari tu. Mfano taja factors leads to road projects failure. Ilo halihitaji ya kwanza wala ya pili, ila mfano: mention steps followed during preparation of BOQ; ili lina steps, kwahiyo lazima 1,2,3..
Wamesema importance 5 points
 
Umetisha mkuu
 
Na je ni kweli wanajumlisha matokeo ya written na oral ili kupata average ya performance?
 
Hata lingekuwa na marks 100% Tatizo liko wapi?
 
Upo sahihi mkuu.

Panel inakuwa na technical personnels wa kada husika pamoja na mtu wa Utumishi mmoja/wawili kwa ajili ya kusimamia zoezi (Utumishi ndiyo wenye jukumu la kuhakikisha taratibu za usimamizi na usiri zinafuatwa, waalikwa ni kwa ajili ya assist tu na kusaidia uelewa wa maswali ya interview).

Mara nyingi maswali yanakuwa na marks sawa. (Jumla 100%)

Na kila interviewer ana mark kulingana na alivyojibu interviewee, mwisho wa siku kunakuwa na discussion ya overall distribution ya marks kulingana na scores alizopata mtahiniwa kutoka kwa kila msahili.

Kila angle unatakiwa kujibu kwa usahihi, kwani kila angle inacontribute kukufikisha kwenye high marks.

Mawasiliano, mwonekano na mtindo wa ujibuji maswali ni just added advantages katika kukufikisha nchi ya ahadi na wasahili wako.
 
Fuata huo muongozo kijana,ndio tunavyotoa marks tukiwa kwenye panel.
 

Attachments

  • Screenshot_20260428_132419_Instagram.jpg
    68.9 KB · Views: 17
Fuata huo muongozo kijana,ndio tunavyotoa marks tukiwa kwenye panel.
Mkuu mbona nikijumlisha hizo marks

Part 1 napata marks 36

Part 2 napata marks 16 and Total inakuwa 52 badala ya 50?
 
Siyo kweli. Lina marks 10 tu
 
kwema boss
 
ivi kwenye interview unapaswa kutaja points na kuzieleza au unataja tu?
Inategemea na swali.
Kuna
1. Mention/Outline/List/What/Which
2. Explain/Elaborate/How.
Kwa maswali ya kutoa more details ukimention tu inakupunguzia marks.

Elewa swali, jibu linavyotakiwa.
 
Inategemea na swali.
Kuna
1. Mention/Outline/List/What/Which
2. Explain/Elaborate/How.
Kwa maswali ya kutoa more details ukimention tu unakupunguza marks.

Elewa swali, jibu linavyotakiwa.
kingine naomba kujua ni kuhusu mgawanyo wa marks, nlisikia kuna hadi marks za namna ya kuongea kingereza ivi ni
 
kingine naomba kujua ni kuhusu mgawanyo wa marks, nlisikia kuna hadi marks za namna ya kuongea kingereza ivi ni
Kumbuka hata interviewers wengi sio experts wa lugha ya kiingereza, wanachokiangalia ni uelewa, utajing’ata ng’ata lakini wanapima uelewa wako.

Na ndiyo maana ya kuwekwa interviewer zaidi ya mmoja. Wote watakusikiliza na kupima ufahamu wako.

Kwenye ugawaji wa marks kila interviewer atakurate kulingana na ulichojibu, na mwisho kabisa watafanya overall ya marks.

Mfano:
1st Interviewer: 08marks
2nd Interviewer: 06 marks
3rd Interviewer: 07marks

Overall marks: 07 (Out of 10).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…