Kumbuka hata interviewers wengi sio expert wa lugha ya kiingereza, wanachokiangalia ni uelewa, utajing’ata ng’ata lakini wanapima uelewa wako.
Na ndiyo maana ya kuwekwa interviewer zaidi ya mmoja. Wote watakusikiliza na kupima ufahamu wako.
Kwenye ugawaji wa marks kila interviewer atakurate kulingana na ulichojibu, na mwisho kabisa watafanya overall ya marks.
Mfano:
1st Interviewer: 08marks
2nd Interviewer: 06 marks
3rd Interviewer: 07marks
Overall marks: 07 (Out of 10).