B bizplan JF-Expert Member Joined Jun 28, 2013 Posts 592 Reaction score 574 Sep 13, 2021 #1 Nafasi za kazi kwa watakaopenda kuwa wauzaji wa bidhaa za Computer/ Electronics. 1. Muajiri angependa wauzaji ambao ni wanawake. 2. Elimu kuanzia kidato cha nne. 3. Mahali ni Dar es Salaam. 4. Uzoefu kuanzia miezi 6. 5. Mshahara ni mzuri. 6. Awe anaweza kuongea Kingereza na Kiswahili. 7. Tarehe ya kuanza kazi ni tarehe 1-October 2021. 8. Tuma CV yako kwa humble2080@gmail.com
Nafasi za kazi kwa watakaopenda kuwa wauzaji wa bidhaa za Computer/ Electronics. 1. Muajiri angependa wauzaji ambao ni wanawake. 2. Elimu kuanzia kidato cha nne. 3. Mahali ni Dar es Salaam. 4. Uzoefu kuanzia miezi 6. 5. Mshahara ni mzuri. 6. Awe anaweza kuongea Kingereza na Kiswahili. 7. Tarehe ya kuanza kazi ni tarehe 1-October 2021. 8. Tuma CV yako kwa humble2080@gmail.com
Restless Hustler JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 5,150 Reaction score 20,025 Sep 13, 2021 #2 Mna misuse maana ya experience