Anita Baby JF-Expert Member Joined Oct 2, 2011 Posts 1,265 Reaction score 540 Apr 6, 2015 #1 kwa anaejua naomba mnijuze km nacte washaanza kupokea maombi ya kujiunga na vyuo vya ualimu diploma na certificate na sifa za muombaji.
kwa anaejua naomba mnijuze km nacte washaanza kupokea maombi ya kujiunga na vyuo vya ualimu diploma na certificate na sifa za muombaji.
irumba1 JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 882 Reaction score 321 Apr 6, 2015 #2 sijakuelewa unavyosema vyuo vya 'oakum' unamaanisha nini?,hebu rudia kusoma ulichoandika
Anita Baby JF-Expert Member Joined Oct 2, 2011 Posts 1,265 Reaction score 540 Apr 6, 2015 Thread starter #3 irumba1 said: sijakuelewa unavyosema vyuo vya 'oakum' unamaanisha nini?,hebu rudia kusoma ulichoandika Click to expand... ulimi uliteleza namanisha ualimu.
irumba1 said: sijakuelewa unavyosema vyuo vya 'oakum' unamaanisha nini?,hebu rudia kusoma ulichoandika Click to expand... ulimi uliteleza namanisha ualimu.
L Lugano5 R I P Joined Jul 15, 2010 Posts 4,520 Reaction score 757 Apr 6, 2015 #4 Anita Baby said: ulimi uliteleza namanisha ualimu. Click to expand... application zimeshaanza tembelea MASWAYETU BLOG kuna hizo taarifa
Anita Baby said: ulimi uliteleza namanisha ualimu. Click to expand... application zimeshaanza tembelea MASWAYETU BLOG kuna hizo taarifa
ugali_mchicha Member Joined Jan 26, 2015 Posts 24 Reaction score 0 Apr 6, 2015 #5 Anita Baby said: kwa anaejua naomba mnijuze km nacte washaanza kupokea maombi ya kujiunga na vyuo vya ualimu diploma na certificate na sifa za muombaji. Click to expand... Mfumo wa udahili wa pamoja ulifunguliwa tarehe 02/04/2015, kwa maelezo zaidi tembelea www.nacte.co.tz
Anita Baby said: kwa anaejua naomba mnijuze km nacte washaanza kupokea maombi ya kujiunga na vyuo vya ualimu diploma na certificate na sifa za muombaji. Click to expand... Mfumo wa udahili wa pamoja ulifunguliwa tarehe 02/04/2015, kwa maelezo zaidi tembelea www.nacte.co.tz