nafasi vyuo vya ualimu

nafasi vyuo vya ualimu

Anita Baby

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
1,265
Reaction score
540
kwa anaejua naomba mnijuze km nacte washaanza kupokea maombi ya kujiunga na vyuo vya ualimu diploma na certificate na sifa za muombaji.
 
sijakuelewa unavyosema vyuo vya 'oakum' unamaanisha nini?,hebu rudia kusoma ulichoandika
 
Back
Top Bottom