Nafasi ya form 1

Scofied

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
2,456
Reaction score
1,673
Wakuu nahitaji msaada wa nafasi ya form one government school iwe Arusha au Moshi na iwe shule ya vipaji maalum boarding...kijana wangu Wa kiume kafaulu vizuri kwa jumla ya max 208 lakini kapangiwa shule za Kata...kwa yeyote anayeweza kunisaidia anipm tubonge mpango mzima...nawakilisha
 
Shule za vipaj tz zilishakufa sio ka zaman enz zetu! siku izi zimebaki
  • Tabora boys
  • kibaha
  • Elboru
  • Mzumbe

Na hapo kuingia sio kama akuchaguliwa na wewe unadai nafa, onana na headmaster wa shule usika huku mkono ukiwa umeweka mfukoni kwa ajil ya soda mezani hapo kwisha habar we ni kumtupa kijana aendelee kupga msul kboiboi hata asipooga wik nzma sawa tu.
 
nimekusoma mkuu...issue ni msaada Wa yeyyote anayefhamiana na headmaster husika...swala la chambi so tatizo mkuu...
 
Hakuna kinachoshindikana Tanzania!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…