Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,381
Nimecheka kwenyr gariTatizo la kaka mkubwa Pascal Mayalla yeye harogi.
Ameonekana kona ya Mlingotini pale kwa Mtoro mchana wa leo 😂😂Tatizo la kaka mkubwa Pascal Mayalla yeye harogi.
Ndo atafanikiwa sana,maana Mungu kwanza.Tatizo la kaka mkubwa Pascal Mayalla yeye harogi.
Namkubali Sana mzee wa voice from withinMzee wa Karma lazima atukumbushe nyuzi zake kadhaa alizowahi kuongelea hili jambo.
Msaidie kutafuta mtaalamu ili nayeye arogeTatizo la kaka mkubwa Pascal Mayalla yeye harogi.
Pasco alirogwa ili asipate akili ya kuroga kupata cheo!Tatizo la kaka mkubwa Pascal Mayalla yeye harogi.
Karibu Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vizuriJamani taratibu mtampandisha BP kaka yangu Pascal Mayalla make ngekewa kama hizi amekuwa akizisubili miaka dahari...!!!
Asante kuniombea jambo la kheri. Wewe sio wa kwanza Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vizuriPiga ua zaragaza nafasi aliyoacha wazi Gerson Msigwa wa msemaji mukuu wa Serikali ni ya ndugu yetu mpendwa na mwanajamvi mwenzetu Pascal Mayalla.
Hakuna cha Kikeke ama Kitenge this time is for Pasco.
It's now or never. This time LAZIMA alambe teuzi na wote tufurahi.
Mungu amtangulie huyu ndugu yetu katika majukumu yake mapya yatakayoanza karibuni.
Duh...!.Tatizo la kaka mkubwa Pascal Mayalla yeye harogi.
You will be surprised...! Save this reply..!!!Piga ua zaragaza nafasi aliyoacha wazi Gerson Msigwa wa msemaji mukuu wa Serikali ni ya ndugu yetu mpendwa na mwanajamvi mwenzetu Pascal Mayalla.
Hakuna cha Kikeke ama Kitenge this time is for Pasco.
It's now or never. This time LAZIMA alambe teuzi na wote tufurahi.
Mungu amtangulie huyu ndugu yetu katika majukumu yake mapya yatakayoanza karibuni.
Piga ua zaragaza nafasi aliyoacha wazi Gerson Msigwa wa msemaji mukuu wa Serikali ni ya ndugu yetu mpendwa na mwanajamvi mwenzetu Pascal Mayalla.