Nafasi ya Gerson Paskali anaichukua.

Msigwa kaenda wapi tena?
 
Kitenge na Kikeke wakichukua nafasi hiyo itakuwa ni Aibu kubwa kwa Taifa.

Kubwaaa...
 
Hadi Kitenge hiki kivaliwacho na mama zetu!
Tuna wasomi wajinga sana.
 
Kwanini sala kama hii muhimu usiisali kimoyo moyo ambapo ingeweza kukuzalia matokeo chanya?

Kweli nami ninamuombea sana iwe hivyo, ila tatizo la watawala wetu wanaoshinda mitandaoni na kuyasoma haya wanaweza kuona kama tunawapangia(kwa mawazo ya kiAfrika)!

Lakini lazima wakae wasikilize kilio kilicho cha wengi kama walivyosikiliza mitandao na wakamtengua Maharage Tanesco, Makamba nishati na bado mmoja tusiyemtaka wanaendelea kushupaza shingo kama hawatusikii kumlinda kwa gharama yoyote!

Kwanza Paskali akisimama kwenye mimbari kutoa hoja, ukianza kumpima unaona kabisa huyu jamaa mtu na nidhamu zake anafaa sana na uandishi wake ni wa kipaji.

Lakini sasa kwa teuzi hizi za kufuata majina na ubini wa kiukoo, sala yako hii yawezakuwa ni dua la kuku lisiloweza kulaani na kuishinda tamaa ya mwewe!
 
Umri jamani ,si amesgafikia umri wa kustaafu au sio nafasi ya utumishi ni uteuzi?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…