Maskini akipata makalio hulia mbwata......yaani wewe hivyo vijisenti vya mkopo tu unataka kuweka HG, ukipata hela ya maana itakuwaje? Acha Ubwanyenye dogo!
Dogo inaonekana hajafahamu maisha yanaendaje. Sh 7500 kwa cku amekuta ni mamilion ambayo haoni pa kuweka. By da way wapo wanaopewa hiyo na hata cku chuo kinapofunga WANAKOPA NAULI. Ucwe limbukeni wa pesa, ITUNZE ILI NAYO IKU2NZE.
jamani mbona mnamshambulia si ndio anatengeneza ajira! akija uraiani naongeza zingine! hata akimpa mimba kwani imeandikwa hg asizae na boss wake tena akiwa hajaoa?
furahia boom! kazikwelikweli!
Mnafikiria wote wanategemea hela za mkopo tu? Kuna wenye wazee wao wana uwezo, kuna wenye kazi zao na wameamuwa kujiendeleza kusoma, kuna wenye "biashara" zao. Unanshangaza!