Nafasi ya kaz yenye mshahara mnono

Nafasi ya kaz yenye mshahara mnono

Kitukizuri

Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
21
Reaction score
1
nahitaji mshichana wa kaz anisaidie kaz ndogondogo hapa geto nikitoka collage nikute shwarii.
 
Ujiandae na kutoa mahari kabisaa!
 
Maskini akipata makalio hulia mbwata......yaani wewe hivyo vijisenti vya mkopo tu unataka kuweka HG, ukipata hela ya maana itakuwaje? Acha Ubwanyenye dogo!
 
lol! mi nasaka ajira ndugu. nipe maelekezo tafadhali
 
Kajifunza kwa wazazi mwacheni ndo vijana wetu wa kileo walivyo wanashani ni sifa kuwa na hg. Soma dogo acha usharobaro
 
Mm ni houseboy najua kupika kila kitu Kama upo tayar tufanye biashara!
 
hawa machalii wa siku hizi wanachukua wasichana wa kazi lakini ghafla bin vuu wanafanya change in use
 
Duh...! May be payments shall be done in kind...!
 
Dogo inaonekana hajafahamu maisha yanaendaje. Sh 7500 kwa cku amekuta ni mamilion ambayo haoni pa kuweka. By da way wapo wanaopewa hiyo na hata cku chuo kinapofunga WANAKOPA NAULI. Ucwe limbukeni wa pesa, ITUNZE ILI NAYO IKU2NZE.
 
jamani mbona mnamshambulia si ndio anatengeneza ajira! akija uraiani naongeza zingine! hata akimpa mimba kwani imeandikwa hg asizae na boss wake tena akiwa hajaoa?
furahia boom! kazikwelikweli!
 
kweli hlo ni boom enzi zetu tulikua tunaiita hela nyeusi mana hata inavoisha isha huelewi
 
Hiyo Ela ya mkopo itatosha kweli kulipa huo mshahara mnono!

Mnafikiria wote wanategemea hela za mkopo tu? Kuna wenye wazee wao wana uwezo, kuna wenye kazi zao na wameamuwa kujiendeleza kusoma, kuna wenye "biashara" zao. Unanshangaza!
 
Back
Top Bottom