kaazi kweli kweli. lakini hata na sisi tuliosoma miaka hiyo viboom vilikuwa vinatufanya tujione bill gates. Kila la kheri dogo natumai utapata tu. ingia mpaka kwa wale wanaorecruit wafanyakazi kama za mfanyakazi unayemhitaji utapata tu
Me nadhan huyu c mtu makini kwenye mambo ya msingi mtu analeta utoto JF wangekuwa wanaaasess threads za mtu kwa mwezi then watu kama hawa wanakuwa disqualied ni hayo Tuuu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.