Nafasi ya kazi haraka

Nafasi ya kazi haraka

echuma

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2010
Posts
311
Reaction score
80
Wakuu anahitajika Graphic designer haraka kampuni iko mikocheni kwa mwalimu,atakuwa anakaa ofisini so asiwe anafanya kazi kwingine ,mshahara ni makubaliano,vigezo awe na uelewa mzuri wa program zinazohusiana na graphic cheti sio lazima sana ila interview kwenye komputa na uelewa wako,kuanza ni mara moja baada ya kuridhika na uwezo wako

mawasiliano
0713603699
 
cheti sio lazima sana
HAYA VILAZA CHANCE HIYO MSEME TENA BONGO AJIRA MPAKA CHETI SIJUI UBAGUZIII!!!!
 
mh!!!!

Mimi nahitaji ila iwe kwa masaaa, siwezi kukaaa ofisini IDLE wakati natakiwa niwe napiga mzigo kuingiza mshiko,
kama upo fine unipe mkataba wa masaa kwa siku at your office!
PM me.
 
Back
Top Bottom