Mdau kamili nipo hapa, je yupo dar na tumtumie cv kwenye hiyo mail.. au tufate procedure zipi??Wakuu..,poleni na Msiba wa Kamanda Regia..! Tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu..! Kuna jamaa angu yupo kampuni flani ameniomba nimtafutie mtu mwenye Certificate ya Computer Science au IT..,co kama kuna mdau yeyote anaqualify...,tuwasiliane via tambikagani@yahoo.com. Kila la kheli..!
mkuu hii ndo ile ya pact tanzania nini?wakuu..,poleni na msiba wa kamanda regia..!
Tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu..!
Kuna jamaa angu yupo kampuni flani ameniomba nimtafutie mtu mwenye certificate ya computer science au it..,co kama kuna mdau yeyote anaqualify...,tuwasiliane...,via tambikagani@yahoo.com
kila la kheli..!