jambo1
JF-Expert Member
- Jul 5, 2009
- 241
- 29
Wakuu Jamaa ameniambia kuwa ameshapokea maombi ya kutosha..,so next time kukiwa na nafasi tutajuzana..,tuendelee kushirikiana..!
Wakuu..,poleni na Msiba wa Kamanda Regia..!
Tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu..!
Kuna jamaa angu yupo kampuni flani ameniomba nimtafutie mtu mwenye Certificate ya Computer Science au IT..,co kama kuna mdau yeyote anaqualify...,tuwasiliane...,via tambikagani@yahoo.com
Kila la kheli..!