Nafasi ya kazi kuuza duka la dawa

Nafasi ya kazi kuuza duka la dawa

firebabe

New Member
Joined
Jan 10, 2021
Posts
2
Reaction score
1
Duka liko Dar es salaam eneo la mbezi barabara ya goba. Ni ndani kidogo mtaani sio barabara ya lami. Kutoka lami ni mwendo wa km 1.

Masharti ya kazi.

1. Ataishi nyumbani kwa boss wake kwa urahisi wa kufika eneo la kazi au dukani.
2. Awe na utaalamu wa dawa.
3. Mshahara sh 100,000 chakula na malazi juu ya boss wake.

Alie na utayari kwa kazi hii tuwasiliane.

Mawasiliano 0717323015.
Asante.
 
Upuuzi ni mwingi kuliko pointi!

-Bei gani utamlipa kwa hayo masharti ya kubaka uhuru wake?
 
Back
Top Bottom