Nafasi ya kazi kwa (fundi) Welder

Nafasi ya kazi kwa (fundi) Welder

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Salaam Wakuu,

Nahitaji Welder mwenye ujuzi wa kutumia Mig na Tig Welding Machines.

1599288178438.png

Mig Welding Machine

1599288283865.png

Tig Welding Machine

- Malipo ya kazi hii yanategemea makubaliano kati yako (fundi) na Muajiri (Mmiliki wa mashine tajwa hapo juu). Kigezo cha msingi ni uzoefu na uwezo wa kufanya kazi kwa kutumia vifaa Mig na Tig katika kufanya welding.

- Kwa yoyote mwenye ujuzi huo tafadhali wasiliana nasi kupitia namba 0657920550.

- Tunapatikana Mikocheni, Dar es Salaam.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom