nafasi ya kazi : mhudumu kwa mama ntilie

nafasi ya kazi : mhudumu kwa mama ntilie

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Hello,

Anahitajika binti, mdada au mwanamke wa kufanya kazi kama mhudumu na msaidizi wa mama ntilie

Ajue kupika vyakula mbalimbali

Ajue kuhudumia wateja na awe na lugha nzuri kwa wateja.

Eneo la kazi ni Tabata reli Karibu na Chuo cha ualimu Saint mary.

karibu pm
 
Back
Top Bottom