Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 Si kila mtu ana stamina ya kushughulika na hela kubwa – wengine wamezoea maisha ya 'salio halitoshi.'Hicho kipato cha 1M mpaka 3M kwa mwezi mnaonaje mkachujua wenyewe? 😀 hivi mnaona jobless wajinga sana au? Kiufupi hapo wewe ndiye muombaji unatakiwa utume maombi upate msaada, upate mtu wa kupiga hizo simu bure kila siku na kutumia bundle lake kila siku kukuuzia bidhaa yako😀
"😂 Bro, kama unadhani commission ni utapeli, ni wazi mshahara wako umekaa kama 'subscription' ya shida.Hakuna kazi za kipumbavu na hutakiwi kuzisogelea kama za commission
Inakuhitaji uwe tapeli na mtu unayejua kuupepeta mdomo sana
Cost za vocha mnazicover wenyewe? Au employee anatumia bando lake kuwasiliana na kupost"😂 Bro, kama unadhani commission ni utapeli, ni wazi mshahara wako umekaa kama 'subscription' ya shida.
Huku hatupepesi mdomo – tunapeleka pesa benki. Wenye mindset ya ‘kazi za kipumbavu’ ndio huachwa na change ya mafanikio. 😏"