Nafasi ya Kazi: Muundaji wa Maudhui ya Video (Video content creator)
Tunatafuta mbunifu mwenye kipaji na ari ya kazi kujiunga na timu yetu.
Majukumu:
1. Kuunda na kuhariri video za masoko na mitandao ya kijamii.
2. Kubuni michoro ya matangazo na machapisho.
3. Kushirikiana na timu ya masoko.
4. Kubuni mawazo mapya ya maudhui.
Mahitaji:
1. Uzoefu katika uundaji wa video
2. Ujuzi wa Adobe Creative Suite (Photoshop, Illustrator, Premiere Pro, After Effects).
3. Ujuzi wa kutumia kamera za video.
4. Uwezo wa kufanya kazi kwa ushirikiano na chini ya shinikizo.
5. Ufahamu wa mitindo ya kisasa ya kidijitali na mitandao ya kijamii.
Sifa Zaidi:
1. Uzoefu na timu ya masoko.
2. Uwezo wa kuwasiliana kwa Kiswahili na Kiingereza.
3. Ujuzi wa uhuishaji ni faida.
Malipo na Faida:
Jinsi ya Kutuma Maombi:
Tuma CV na sample ya kazi kupitia WhatsApp+255657151577 kabla ya 30/06/2024.

- Mshahara: Tsh 250,000.
- Chakula: Bure wakati wote wa kazi.
- Bonasi kwa utendaji mzuri.
Jinsi ya Kutuma Maombi:
Tuma CV na sample ya kazi kupitia WhatsApp+255657151577 kabla ya 30/06/2024.