rakeyescarl
JF-Expert Member
- Dec 9, 2007
- 481
- 147
Anahitajika mtanzania mwenye elimu ya kidato cha 6 na basic skills kwenye management, ambae anaweza kuongoza watu 10 kwenye biashara ya mtaji wa Million 10.
Mshahara ni 450,000 kwa mwezi lakini kulingana na malengo ataweza kulipwa bonus ya asilimia 2 kila mwezi kama akifikia malengo.
Awe na ujuzi ambao ni basic kwenye matumizi ya computer.
Mwenye ujuzi wa basic accounting na English atafikiriwa zaidi.Atatakiwa kutuma report kila siku kwa email.
Awe na experience si chini ya miaka 2 kwenye sehemu ya kazi yoyote(Wenye ujuzi chini ya hapo huenda wakafikiriwa lakini hawatapata kima hicho kwa miezi 3 ya kwanza.)
Mkataba ni wa kila mwaka-miezi 12.Sehemu ya kazi ni Tanzania vijijini,si DSM.
Kama jinsia ya kiume(akihitaji makazi ya bure yatatolewa- ni ya kuchangia wanaume) kama ni mwanamke anaweza kujitegemea kwa makazi kama 30,000 kwa chumba.
Awe na wadhamini wasipoungua 3, 1 kati yao awe kutoka serikalini au taasisi zake.
Tuma maombi ujumbe kwa email kwenda rakeyescarl@yahoo.ie au ni PM kwa maulizo