Nafasi ya kazi: Small Biz manager, salary 450,000+Bonus

rakeyescarl

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2007
Posts
481
Reaction score
147
Anahitajika mtanzania mwenye elimu ya kidato cha 6 na basic skills kwenye management, ambae anaweza kuongoza watu 10 kwenye biashara ya mtaji wa Million 10.
Mshahara ni 450,000 kwa mwezi lakini kulingana na malengo ataweza kulipwa bonus ya asilimia 2 kila mwezi kama akifikia malengo.
Awe na ujuzi ambao ni basic kwenye matumizi ya computer.
Mwenye ujuzi wa basic accounting na English atafikiriwa zaidi.Atatakiwa kutuma report kila siku kwa email.

Awe na experience si chini ya miaka 2 kwenye sehemu ya kazi yoyote(Wenye ujuzi chini ya hapo huenda wakafikiriwa lakini hawatapata kima hicho kwa miezi 3 ya kwanza.)
Mkataba ni wa kila mwaka-miezi 12.Sehemu ya kazi ni Tanzania vijijini,si DSM.
Kama jinsia ya kiume(akihitaji makazi ya bure yatatolewa- ni ya kuchangia wanaume) kama ni mwanamke anaweza kujitegemea kwa makazi kama 30,000 kwa chumba.
Awe na wadhamini wasipoungua 3, 1 kati yao awe kutoka serikalini au taasisi zake.
Tuma maombi ujumbe kwa email kwenda rakeyescarl@yahoo.ie au ni PM kwa maulizo
 
Duu hatari Manager mshahara huo hao wa chini kiasi gani?
 
vijiji gani unavyotaka kupeleka watu ndugu yangu kua specific,km mtu hana experience unampa kiasi gani?Hebu kitaje,alafu ni kama unafchafcha mambo,usitumie shida ya ajira kunyonya watu na mfumuko huu wa bei unataka kulipa mtu chini ya 450,000?Hayo malengo ni malengo yapi?Hebu funguka ueleweke ndungu yangu.
 
Asante ndugu yangu,lakini mbona umekuwa mkali hivyo?*? kumpa mtu 450,000 ni kumnyonya?Nisamehe bure sina majibu ya kukupa.
Asante kuandika.

vijiji gani unavyotaka kupeleka watu ndugu yangu kua specific,km mtu hana experience unampa kiasi gani?Hebu kitaje,alafu ni kama unafchafcha mambo,usitumie shida ya ajira kunyonya watu na mfumuko huu wa bei unataka kulipa mtu chini ya 450,000?Hayo malengo ni malengo yapi?Hebu funguka ueleweke ndungu yangu.
 
Watanzania (baadhi) tuna mambo ya ajabu sana, mtu ametoa proposal yake, form six leaver with basic ya kompyuta Tsh 450,000 mnaona ndogo? mbona serikalini huo ni mshahara wa graduate (TGS D). Tena yeye kama ni form 6 inaamana atakaowasimamia ni less educted than him/her and that qualifies them kupata less than his (450,000). Je si sisi tunaowalipa mahousegirl na mahouseboy chini ya laki 2, tena wako kutwa majumbani kwetu, Je hatuwanyonyi?

Mi naona kama ni kijijini na ni biashara ya kawaida huo mshahara wa supervisor (450,000) si mbaya sana.Pengine hata wanaolalamika wao hawapati huo mshahara.
lets be objective, mwenye qualification awasiliane naye na aeleweshwe hiyo bonus ikoje nk
 
Kuna kijana amejaribu kututuma ujumbe kwa email yako but inafail ila yupo ful nondo ana mauzoefu mcheki kwa namba hii 0716074203 anapiga kazi sana chonga naye
 
Asante mkuu, nimefurahi kusikia Tanzania vijijini kwa mara ya kwanza. Mia
 
Mwanzo nilidhani kuwa JF Premium Member unahitaji kuwa na akili

Na wewe akili yako ndio iliposhia hapo, unategemea kila mtu akubaliane na kile unachokiona kizuri kwako
 
Anahitajika mtanzania mwenye elimu ya kidato cha 6 na basic skills kwenye management, ambae anaweza kuongoza watu 10 kwenye biashara ya mtaji wa Million 10.
Mshahara ni 450,000 kwa mwezi lakini kulingana na malengo ataweza kulipwa bonus ya asilimia 2 kila mwezi kama akifikia malengo.
Awe na ujuzi ambao ni basic kwenye matumizi ya computer.
Mwenye ujuzi wa basic accounting na English atafikiriwa zaidi.Atatakiwa kutuma report kila siku kwa email.

Awe na experience si chini ya miaka 2 kwenye sehemu ya kazi yoyote(Wenye ujuzi chini ya hapo huenda wakafikiriwa lakini hawatapata kima hicho kwa miezi 3 ya kwanza.)
Mkataba ni wa kila mwaka-miezi 12.Sehemu ya kazi ni Tanzania vijijini,si DSM.
Kama jinsia ya kiume(akihitaji makazi ya bure yatatolewa- ni ya kuchangia wanaume) kama ni mwanamke anaweza kujitegemea kwa makazi kama 30,000 kwa chumba.
Awe na wadhamini wasipoungua 3, 1 kati yao awe kutoka serikalini au taasisi zake.
Tuma maombi ujumbe kwa email kwenda rakeyescarl@yahoo.ie au ni PM kwa maulizo

Ai, mshahara gani huo?
 
Salary ya 450,000 form six lever, then kuna mjinga analalamika. Kweli watanzania tunapenda mshahara kuliko kazi?
 
Akafanye kazi CRDB au kwenye benki zozote hapa nchini aone jinsi wenye degree wanavyolamba 350,000 nyingi sana 500,000 in short mshahara ni mkubwa sana na mie ndo nalipwa mshahara huo JF kama kawa na mkoko kama kawa.
 
Mkuu wanalamba kiasi gani wanaofanya kazi bank kuanzia kiasi gani hasa?? Hapo kwenye 350,000 ndio wanayolipwa au vipi??Bado sijaelewa hapo mkuu...Weka more info kwanza itakuwa vizuri zaidi naona.
 
MKuu yani mabenki hamna kitu kabisa zaidi ya mnavyofikiri. Kuna international banks ndo zinalipa vizuri kama AFDB,CITI na nyingine. Chaka zuri kwenye banks nyingine labda coperate vinginevyo huko kwenye madirisha ya pesa cjui customer adviser chai tupu....! ndo maana nikasema hii nafasi ya huyu jamaa ni nzuri sana na mshahara ni poa
 
Mkuu wanalamba kiasi gani wanaofanya kazi bank kuanzia kiasi gani hasa?? Hapo kwenye 350,000 ndio wanayolipwa au vipi??Bado sijaelewa hapo mkuu...Weka more info kwanza itakuwa vizuri zaidi naona.
Access,NMB,CRDB na kwingineko ndo mishara kuanzia 350,000/= kwa degree na kuendelea mkuu MKuu yani mabenki hamna kitu kabisa zaidi ya mnavyofikiri. Kuna international banks ndo zinalipa vizuri kama AFDB,CITI na nyingine. Chaka zuri kwenye banks nyingine labda coperate vinginevyo huko kwenye madirisha ya pesa cjui customer adviser chai tupu....! ndo maana nikasema hii nafasi ya huyu jamaa ni nzuri sana na mshahara ni poa
 
Asanteni ndugu zangu,nimepata watu walioandika wote nitawajibu -waliopata na walioshindwa. Kwa sasa tunaomba mtu asiombe tena,tutapata kwa walioomba tu.La maana tutakiane amani maana kama kweli si watu wenye kupenda kuandika pasipo nia, mtu akiomba kupata anachokitaka, ni bora ukamsamehe kuliko kumlazimisha asichokiweza,uwezo wangu uliishia niliposema, mbona wengine hawatangazi mishahara na wanalipa peanut? Asanteni walionijibu kwa uzuri na kwa ubaya. Cheers. RE.
 
Access,NMB,CRDB na kwingineko ndo mishara kuanzia 350,000/= kwa degree na kuendelea mkuu MKuu yani mabenki hamna kitu kabisa zaidi ya mnavyofikiri. Kuna international banks ndo zinalipa vizuri kama AFDB,CITI na nyingine. Chaka zuri kwenye banks nyingine labda coperate vinginevyo huko kwenye madirisha ya pesa cjui customer adviser chai tupu....! ndo maana nikasema hii nafasi ya huyu jamaa ni nzuri sana na mshahara ni poa

Sawa sawa mkuu sasa nimekuelewa vizuri maana mwanzoni nilikuwa sijaelewa bado, ila watu wanasema bank wanalipa vizuri kumbe hamna ukweli wowote, aminia sana kamaa ndio hivyo baasi watu hawaendi tena huko bank, maana kwa hiyo amount ni hela ndogo sana.
 
Basi sawa mkuu
 
Back
Top Bottom