Nafasi ya kazi ya kujitolea ya muda afya ya mifugo

Kaka zako tumehitimu mwaka wa 6 sasa hatujapata hizo nafasi, cha msingi soma kwanza mdogo wangu umalize.
 
Habari ndugu zangu watanzania
Mi ni kijana umri miaka 25
Nasoma afya ya wanyama chuo cha kilimo na mifugo kaole bagamoyo mwaka wa pili
Natafuta nafasi ya kujitolea kwenye sekta ya afya ya wanyama na uzalishaji
Muda ni miezi miwili tu kuanzia september mpaka november

Kwa nafasi hizi nenda kwenye makampuni moja kwa moja kama vile interchick ni rahisi kupata kwa njia hizo, ningekua kwenye mifugo ningekubeba bahati mbaya niko kwenye kilimo. Nimependa sana moyo wako [emoji1376][emoji1376][emoji1376]
 
Ahsante kaka
 
mkuu tupeane hzo fursa za kilimo kaka niko dar kwa sasa
 
Tafuta tu shamba uanze kuliparua kidogo kidogo,ikifika msimu utupie mbegu
 
Habari ndugu zangu watanzania
Mi ni kijana umri miaka 25
Nasoma afya ya wanyama chuo cha kilimo na mifugo kaole bagamoyo mwaka wa pili
Natafuta nafasi ya kujitolea kwenye sekta ya afya ya wanyama na uzalishaji
Muda ni miezi miwili tu kuanzia september mpaka november

Ulifanikiwa kupata nafasi hiyo? Umeshaajiriwa kwa sasa?
 
Ndio, namshukuru Mungu nilipata, nipo turian vijijin sana huku ila kaz inaendelea

Safi, pambana kijana. Huko vijijini pia ndo kuna fursa nyingi na nafasi ya wewe kufanya mambo mengine ya ki maendeleo! Hakikisha unachangamkia fursa hizo na uanze kujenga uwezo wako wa kujiajiri na kuwaajiri wengine hapo mbeleni!
 
Back
Top Bottom