Nafasi ya kazi ya kujitolea ya muda afya ya mifugo

Kaka zako tumehitimu mwaka wa 6 sasa hatujapata hizo nafasi, cha msingi soma kwanza mdogo wangu umalize.
 
Kwa nafasi hizi nenda kwenye makampuni moja kwa moja kama vile interchick ni rahisi kupata kwa njia hizo, ningekua kwenye mifugo ningekubeba bahati mbaya niko kwenye kilimo. Nimependa sana moyo wako [emoji1376][emoji1376][emoji1376]
 
Ahsante kaka
 
mkuu tupeane hzo fursa za kilimo kaka niko dar kwa sasa
 
Tafuta tu shamba uanze kuliparua kidogo kidogo,ikifika msimu utupie mbegu
 
Ulifanikiwa kupata nafasi hiyo? Umeshaajiriwa kwa sasa?
 
Ndio, namshukuru Mungu nilipata, nipo turian vijijin sana huku ila kaz inaendelea

Safi, pambana kijana. Huko vijijini pia ndo kuna fursa nyingi na nafasi ya wewe kufanya mambo mengine ya ki maendeleo! Hakikisha unachangamkia fursa hizo na uanze kujenga uwezo wako wa kujiajiri na kuwaajiri wengine hapo mbeleni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…