Nafasi ya kazi ya Msusi-Saloon

Brigedia Chan-ocha

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
1,353
Reaction score
2,846
Wanahitajika wadada wawili wenye ujuzi wa kusuka mitindo yote ukiwemo mtindo wa "YEBO" saloon ipo Mwanza -Nyamanoro, mshahara ni mzuri, unapewa, nauli, na pesa ya chakula tofauti na mshahara.

Kwa wahitaji ni-PM.

Karibuni Sana.
 
Weka namba ya simu ikikupendeza.
Pm sio kuzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…