Nafasi ya kazi ya Ualimu katika Masomo ya Fizikia na Kemia

pauldemasanja

Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
18
Reaction score
11
Naitwa Mwl. Paulo Yamola Masanja
Ni mhitimu wa shahada ya Ualimu wa sayansi katika masomo ya Physics na Chemistry.
Lengo kuu ni kuomba nafasi ya kazi ya kufundisha kama Mwalimu katika sekondari yenye uhitaji.
Kwa maswali na ufafanuzi zaidi, napatikana kupitia 0767582599
Email: pauldemasanja@gmail.com
(Mwenye connection au msaada zaidi usisite kunijuza)
Kazi njema
 
Umeisha-check na website ya tamisemi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…