Nafasi ya kazi

Nafasi ya kazi

SAMORE

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
400
Reaction score
540
JOB VACANCY...
Je,unatafuta ajira nzuri inayolipa?
1.Mshahara Tsh 900,000/= kwa mwezi.
2.Mda wa kazi kuingia saa 8.30 asubuhi
hadi saa 4 jioni.
3.Allowance 300,000/= kwa mwezi.
4.Siku za kazi jumatatu hadi ijumaa.
5.Usafiri na nyumba ya kuishi ipo. Requirements..

1.Cheti cha form 4 na form 6 {CSEE &
ACSEE}

2.Elimu ya chuo. {Diploma au Bachelor
degree}
3.Hakuna uzoefu unaohitajika
4.Umri chini ya miaka 45
Kama unahitaji
hiyo kazi,basi usijali.Njoo ungana na mimi tuanze kuitafuta
maana hata mimi ninatafuta kazi kama
hiyo
 
Sasa unatafuta nini ambacho unajuwa sehemu kilipo ?
 
Njoo PM utaipata hiyo nafasi na utafanya kazi kwa masaa mawili tu kwa siku ambayo utachagua wewe mwenyewe.
 
Mtoa mada umenichekesha sana, yaan leo nitalala usingizi mwepeesiii. Waleta masihara wakati watu wana usongo na kazi.
 
Mtoa mada umenichekesha sana, yaan leo nitalala usingizi mwepeesiii. Waleta masihara wakati watu wana usongo na kazi.
Analeta masikhara katika kutafuta riziki... sijui mtoto wa mwaka gani huyu, ugali wa shikamoo unampa kiburi
 
Nahisi umeandikiwa na mtu mwingine.... Sijajua reason ya mtoa mada pia.
Kuna jukwaa la hizo vituko lakini.
 
Kuna mmoja katoa mishipa ya shingo huyo!
Anakwambia peleka jukwaa la utani,hili ni jukwaa gani?
Waliopata moto wote wanauchungu na kazi.
 
JOB VACANCY...
Je,unatafuta ajira nzuri inayolipa?
1.Mshahara Tsh 900,000/= kwa mwezi.
2.Mda wa kazi kuingia saa 8.30 asubuhi
hadi saa 4 jioni.
3.Allowance 300,000/= kwa mwezi.
4.Siku za kazi jumatatu hadi ijumaa.
5.Usafiri na nyumba ya kuishi ipo. Requirements..

1.Cheti cha form 4 na form 6 {CSEE &
ACSEE}

2.Elimu ya chuo. {Diploma au Bachelor
degree}
3.Hakuna uzoefu unaohitajika
4.Umri chini ya miaka 45
Kama unahitaji
hiyo kazi,basi usijali.Njoo ungana na mimi tuanze kuitafuta
maana hata mimi ninatafuta kazi kama
hiyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu umeuwaaa lakini hayo matusi utakayo yapata pole.
 
Kuna mmoja katoa mishipa ya shingo huyo!
Anakwambia peleka jukwaa la utani,hili ni jukwaa gani?
Waliopata moto wote wanauchungu na kazi.
Mwanzo alipost kwenye jukwaa la kazi, naona wamehamisha uzi wake na kuuleta panapohusika. Ningeukuta huku mwanzo wala nsingetoka mshipa wa shingo. Ni lazima tuwe na uchungu na kazi hata kama teyari tunazo.
 
Back
Top Bottom