Analeta masikhara katika kutafuta riziki... sijui mtoto wa mwaka gani huyu, ugali wa shikamoo unampa kiburiMtoa mada umenichekesha sana, yaan leo nitalala usingizi mwepeesiii. Waleta masihara wakati watu wana usongo na kazi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu umeuwaaa lakini hayo matusi utakayo yapata pole.JOB VACANCY...
Je,unatafuta ajira nzuri inayolipa?
1.Mshahara Tsh 900,000/= kwa mwezi.
2.Mda wa kazi kuingia saa 8.30 asubuhi
hadi saa 4 jioni.
3.Allowance 300,000/= kwa mwezi.
4.Siku za kazi jumatatu hadi ijumaa.
5.Usafiri na nyumba ya kuishi ipo. Requirements..
1.Cheti cha form 4 na form 6 {CSEE &
ACSEE}
2.Elimu ya chuo. {Diploma au Bachelor
degree}
3.Hakuna uzoefu unaohitajika
4.Umri chini ya miaka 45
Kama unahitaji
hiyo kazi,basi usijali.Njoo ungana na mimi tuanze kuitafuta
maana hata mimi ninatafuta kazi kama
hiyo
Hehehehe!! Umetisha.Kipindi hiki watu wamechoka hadi kuzunguka na bahasha utani kama huu si mzuri teh
Mwanzo alipost kwenye jukwaa la kazi, naona wamehamisha uzi wake na kuuleta panapohusika. Ningeukuta huku mwanzo wala nsingetoka mshipa wa shingo. Ni lazima tuwe na uchungu na kazi hata kama teyari tunazo.Kuna mmoja katoa mishipa ya shingo huyo!
Anakwambia peleka jukwaa la utani,hili ni jukwaa gani?
Waliopata moto wote wanauchungu na kazi.