Uchaguzi 2020 Nafasi ya kipekee kwa vijana na wazalendo wa Tanzania

Ame

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Posts
6,468
Reaction score
5,626
Ndugu zangu wa Tanzania, kama kuna muda ambao nafasi za siasa zimekuwa za haki na available kwa kila raia wa Tanzania ni sasa. Nawaombeni sana sana kama wewe ni mzalendo, unania njema na nchi hii, una uwezo wa kuinua taifa letu katika kuongeza social welfare, unauchukia fisadi kwa moyo wa dhati na siyo kwakua hujapata nafasi, unachuki ya kweli kwa nepotism, uzembe na umasikini wa kujitakia kwakua tu hapendi kufanya kazi na unapenda misaada ya wazungu naomba sana, usisite kuchukua form na kugombea nafasi unayoona utaitendea haki ili kuacha urithi bora kwa vizazi na nchi yetu.

Nafasi hii ni adhimu na muhimu sana kwenye hatua ya kwenda kujenga mifumo yenye tija na ya kudumu katika nchi yetu. Tafadhali sana nakusihi uchukue hatua na ugombee sasa katika uongozi wa nafasi hizi za kisiasa ili kukamilisha hii adhma huku ukishirikiana na mzalendo namba moja Dr. John Joseph Pombe Magufuli.

Hii nafasi haikuja tu hivi hivi, wapo ambao walitoa nafsi zao kwakujitolea kwa dhati ya mioyo yao kusaidia kwa hali na mali kuhakikisha tunapata kiongozi tuliyenaye atakayetufikisha hapa, kwa wale wanaojifahamu na wale ambao walijikuta tu wamo bila kujua, hongereni sana na ahsanteni sana sana, thawabu yenu ni kubwa na kamwe hili halitasahaulika, MBINGU YA BABA YANGU NINAYE MWAMINI NAKUMSUJUDIA NI SHAHIDI. Itakuwa ni usaliti mkubwa kwa nchi na kwa hao ndugu zetu waliojitolea iwapo mtaiacha nafasi hii bila kuitendea haki.

Naamini kabisa kama kuna zawadi ya pekee Mh. Rais ameitoa kwa taifa lake na ambayo italibadili na kuwa zawadi ya milele ni wakati huu na nafasi ya jinsi hii kwa wagombea wote wazalendo watakapojitokeza kugombea nafasi hizi za kisiasa zenye institutional and strategic power katika kuzika mafisadi wasirudi milele.

Kila la heri katika michakato na mimi ambaye nimeamua kuwa mlinzi wa hiari wa kiroho wa Taifa langu, nawaachilia baraka za kiroho na za kimwili, mkafanikiwe jinsi roho zenu zifanikiwavyo.

Ole ni kwa wale wote wenye hila, kwahakika neno langu linadumu na lipo pale pale tangu nilipolitoa 2012...HAKUNA FISADI ATAKAYETHUBUTU KUKANYAGA MILANGO NA MAKAO MATAKATIFU YA TAIFA LETU...Tanzania njema is a must project.

Mbarikiwe na Mungu wetu asiye na upendeleo ambaye humwinua huyu na kumdhili yule kwa jinsi apendavyo, na atukuzwe milele yeye pekee, AMEN!
 
DAA,SASA TUKAONESHE WAPI UZALENDO
 
Mwambie mzalendo namba 1 atoe takwimu za kweli za corona ni haki ya kila mtanzania kuwa na takwimu hizo, bila hilo sahau mambo ya uzalendo hamuyawezi ccm waachieni CDM.
 
Back
Top Bottom