Jamesmkude
Member
- May 18, 2015
- 60
- 69
Pesa yote hiyo unashindwa kuitumia. Kwani umeipataje? Umeiokota barabarani. Nunua ng'ombe kwa wasukuma wanenepeshe. Kauze sokoni soko la ng'ombe ni kubwa sana na linalipa kwa haraka.Mwambie ajaribu kanda ya ziwa based in mwanza, kuhusu bidhaa nitamuunganisha na kampuni nayofanyia kazi.
Ushauri mzuri pia.Pesa yote hiyo unashindwa kuitumia. Kwani umeipataje? Umeiokota barabarani. Nunua ng'ombe kwa wasukuma wanenepeshe. Kauze sokoni soko la ng'ombe ni kubwa sana na linalipa kwa haraka.
Asante kwa ushauri. Kwa kuwa amejikita zaidi Dar angependa kuendeleza biashara hapa.Mwambie ajaribu kanda ya ziwa based in mwanza, kuhusu bidhaa nitamuunganisha na kampuni nayofanyia kazi.
Asante kwa opportunity ila Jamaa sio mzuri kwenye industry ya mtandaomwenye hii social network www.jamiichat.yooco.org anatafuta mbia! So i thnk kama atakuwa tayari weka namba au anipm
uko wapi kiongozi?Pesa yote hiyo unashindwa kuitumia. Kwani umeipataje? Umeiokota barabarani. Nunua ng'ombe kwa wasukuma wanenepeshe. Kauze sokoni soko la ng'ombe ni kubwa sana na linalipa kwa haraka.
uko wapi? hivi ratio yke ni ngapi?Aje awe wakala wangu CEMENT YA DANGOTE.... 0764 468 469. INATOKA SANAA
Kanda ya ziwa biashara gani?Mwambie ajaribu kanda ya ziwa based in mwanza, kuhusu bidhaa nitamuunganisha na kampuni nayofanyia kazi.
Ni kweli mkuu watu wako wenye pesa lakini hawana mkono wa biasharra .mmoja wapi mie . Natafuta biashara .nawe invest up to 150 mil.nikipata .biashara ya uhakika na marajio yakePesa yote hiyo unashindwa kuitumia. Kwani umeipataje? Umeiokota barabarani. Nunua ng'ombe kwa wasukuma wanenepeshe. Kauze sokoni soko la ng'ombe ni kubwa sana na linalipa kwa haraka.