kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,703
SOAS university London wanafundisha Kiswahili, ukuaji wa lugha unategemea sana uchumi wa jamii. Wazungu sikuhizi wanajifunza Mandarin kwasababu uchumi wa China unakua kwa kasi.
Kama mafuta na gesi havitachakachuliwa kuna uwezekano na Kiswahili kukua Zaidi.
Labda yale yafuatayo yatasaidia kidogo ( kutoka Stanford University) (swahililanguage.stanford.edu/where%20%swahili%20is%20spoken.html). Kuna wamilioni wasemayo Kiswahili kwenya Congo (mikoa ya mashariki: Katanga, Kivu, Orientale),
Humu Marekani, kuna wachache tu. Hata hivyo, katika jiji langu, karibu na Washington, DC, kuna kanisa linalotoa mikutano ya dini kwa Kiswahili.