Nafasi ya lugha ya Kiswahili kimataifa

Nafasi ya lugha ya Kiswahili kimataifa

kichwa kikubwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
2,273
Reaction score
1,703
mambo zenu wakuu:

samahan kwa mnaofahamu,napenda kujulishwa kwamba: je; kiswahili ni cha ngapi katika lugha za kimataifa?; na je, inawatumiaji wanaokadiliwa kufikia wangapi duniani? pia maeneo ya nchi ambayo yanajifunza\fundisha kiswahili {ukiacha nchi za afrika mashariki} ni nchi zip hizo?

msaada kwenu.
 
SOAS university London wanafundisha Kiswahili, ukuaji wa lugha unategemea sana uchumi wa jamii. Wazungu sikuhizi wanajifunza Mandarin kwasababu uchumi wa China unakua kwa kasi.

Kama mafuta na gesi havitachakachuliwa kuna uwezekano na Kiswahili kukua Zaidi.
 
je kimataifa ni lugha ya ngapi?
 
Ushupuva wa kiswahili kimataifa utategemea mchango wa Kenya na Tanzania. Kenya na TZ wakiamua kuitumia lugha hiii katika ngazi za elimu (hadi Chuo kikuu,) basi unaweza ukataraji lugha hii ikuwe kwa upesi sana. Lakini watanzania mnaiaribu lugha hii sana. Naomba mkome!
 
Labda yale yafuatayo yatasaidia kidogo ( kutoka Stanford University) (swahililanguage.stanford.edu/where%20%swahili%20is%20spoken.html). Kuna wamilioni wasemayo Kiswahili kwenya Congo (mikoa ya mashariki: Katanga, Kivu, Orientale),
Humu Marekani, kuna wachache tu. Hata hivyo, katika jiji langu, karibu na Washington, DC, kuna kanisa linalotoa mikutano ya dini kwa Kiswahili.
 
poa mkuu
 
Back
Top Bottom