Pre GE2025 Nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM ijazwe kutatua changamoto ya ajira nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Hellow !!

Tatizo la ajira nchini ni kubwa, Si vyema nafasi iliyoachwa na Mzee Kinana iendelee kuwa wazi Hadi sasa,

Mtaani kunajengeka taswira mbaya kwamba tatizo la ajira nchini halizingatiwi Kwa kuacha wazi nafasi Ya Makamo Mwenyekiti upande wa Tanganyika Hadi sasa kana kwamba hayupo Mtanzania wa kuijaza nafasi hiyo.

Ikijazwa nafasi hiyo, Mwenyekiti wa CCM atapata mshauri wa kusaidia baadhi ya changamoto ndani ya uongozi kuelekea uchaguzi mkuu.

Ni hayo tu,

Karibuni 🙏
 
😂😂😂 sema una hoja usikilizwe, kama wameshindwa kupata mtu sahihi hata kina Lucasi wameshindwa basi waitangaze kama nafasi ya ajira watanzania tutume maombi kuishindania.
Hawamtendei HAKI mkt wa CCM Kwa kumwacha bila msaidizi muda wote huo.

Tatizo la ajira pia litatuliwe Kwa kuijaza nafasi hiyo.
 
CCM ijifunze DEMOKRASIA Kwa CHADEMA, wanajaza nafasi zote muhimu Kwa uwazi kabisa bila kutekana.
 
Nawaza nje ya box. Labda hiyo nafasi imewekwa wazi kwa ajili ya mtu toka upinzani atakayekubali kulamba asali.
 
Kuweni na subira siku litakapotajwa Jina La Makamu Mwenyekiti kwa hakika mtafurahi na kushindwa kutwa nzima mkibubujikwa na machozi ya Furaha.
 
Hellow !!

Tatizo la ajira nchini ni kubwa, Si vyema nafasi iliyoachwa na Mzee Kinana iendelee kuwa wazi Hadi sasa,

Mtaani kunajengeka taswira mbaya kwamba tatizo la ajira nchini halizingatiwi Kwa kuacha wazi nafasi Ya Makamo Mwenyekiti upande wa Tanganyika Hadi sasa kana kwamba hayupo Mtanzania wa kuijaza nafasi hiyo.

Ikijazwa nafasi hiyo, Mwenyekiti wa CCM atapata mshauri wa kusaidia baadhi ya changamoto ndani ya uongozi kuelekea uchaguzi mkuu.

Ni hayo tu,

Karibuni 🙏
Ndio muone hasara ya Muungano
 
Tunahitaji majina mawili,ili yapigiwe kura na wajumbe!*Demokrasia ifanye kazi yake,badala ya kuja na jina la mtu mmoja,kwenye pochi
 
Kumbe yupo Samia asiye mwana CCM🤔
Umeandika pumba.

Mimi ni shabiki wa Samia ,kwani Samia akiwa mwana ccm kama wewe au mwingine nitakushabikia? Nashabikia mtu na sio chama Cha mtu.

Mbona Mwendazake alikuwa mwana ccm kwani Huwa namshabikia?
 
Kuweni na subira siku litakapotajwa Jina La Makamu Mwenyekiti kwa hakika mtafurahi na kushindwa kutwa nzima mkibubujikwa na machozi ya Furaha.
Sasa miezi mingapi imepita nafasi ikiwa wazi? Ambapo ingejazwa mtu huyo angekuwa anaingiza kipato Kwa family na kuongeza mzunguko wa Fedha na kukuza Uchumi wa Nchi?

Acheni kukalia ajira!
 
Mshabiki na chawa Kuna tofauti yoyote?

Halafu unayemshabikia akitimiza majukumu yake, huoni kuwa unamletea usumbufu usio na lazima?

Karibu 🙏
 
Kuweni na subira siku litakapotajwa Jina La Makamu Mwenyekiti kwa hakika mtafurahi na kushindwa kutwa nzima mkibubujikwa na machozi ya Furaha.
Sisi wajumbe wa CCM,hatuhitaji jina la kutajwa,tunahitaji majina zaidi ya Moja,la kupigia kura.Tusiendelee kubaka Demokrasia
 
Sasa miezi mingapi imepita nafasi ikiwa wazi? Ambapo ingejazwa mtu huyo angekuwa anaingiza kipato Kwa family na kuongeza mzunguko wa Fedha na kukuza Uchumi wa Nchi?

Acheni kukalia ajira!
Kaa kwa kutulia usiwe na Papara.
 
Back
Top Bottom