Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaotoka upinzani ni sawa na ng'ombe aliyekatwa mkia. Hawawezi kumpa mtu wa kuja nafasi kubwa na nyeti kama hiyo ya Makamo mwenyekiti. Akina Lucas Mwashambwa na wenzake wa kufanana naye, hicho cheo harufu yake tu wanaisikia kwa mbali sana, sembuse hao wanaonunuliwa kama bidhaa sokoni. CCM ina wenyewe. Hao wanaounga mkono juhudi, wataambulia tu Ukuu wa Wilaya au anayebahatika anapewa Ukuu wa Mkoa.Nawaza nje ya box. Labda hiyo nafasi imewekwa wazi kwa ajili ya mtu toka upinzani atakayekubali kulamba asali.
Isipokuwa ya mwenye kikobanafasi zote muhimu Kwa uwazi
😂😂😂😂 Ila we jamaa jau sana. Tububujike machozi kutwa nzima kisa nafasi imejazwa?Kuweni na subira siku litakapotajwa Jina La Makamu Mwenyekiti kwa hakika mtafurahi na kushindwa kutwa nzima mkibubujikwa na machozi ya Furaha.
Nafasi zinazohitajika kujazwa na Watanganyika zinampa mteuaji headache, manake hawajui vizuri tofauti na wa upande wa pili... lakini pia Acha waiongoze CCM wenyewe kwanza Bila Mtanganyika kwenye Cheo cha kiti ili tuone itakuwaje..manake sometimes ni Bora kuwa na viongozi wakuu wenye mrengo mmoja kuongoza Taasisi kubwa kama CCM Bila input ya walio wengi.😂😂😂 sema una hoja usikilizwe, kama wameshindwa kupata mtu sahihi hata kina Lucasi wameshindwa basi waitangaze kama nafasi ya ajira watanzania tutume maombi kuishindania.