Hawamtendei HAKI mkt wa CCM Kwa kumwacha bila msaidizi muda wote huo.😂😂😂 sema una hoja usikilizwe, kama wameshindwa kupata mtu sahihi hata kina Lucasi wameshindwa basi waitangaze kama nafasi ya ajira watanzania tutume maombi kuishindania.
Chadema Ina mwenyewe.Mambo ya CHADEMA hayawahusu.
Nape: CCM Ina wenyewe.Chadema Ina mwenyewe.
Mimi niko behind the camera, back vocalchiembe, Lucas Mwashambwa , ChoiceVariable , Sexless ,Yoda ,johnthebaptist ,Lucas Mwashambwa karibuni na huku,
Mambo ya CHADEMA hayawahusu.
Msinitag kwenye mambo yenu ya siasa za Chadema na CCM.chiembe, Lucas Mwashambwa , ChoiceVariable , Sexless ,Yoda ,johnthebaptist ,Lucas Mwashambwa karibuni na huku,
Mambo ya CHADEMA hayawahusu.
Ndio muone hasara ya MuunganoHellow !!
Tatizo la ajira nchini ni kubwa, Si vyema nafasi iliyoachwa na Mzee Kinana iendelee kuwa wazi Hadi sasa,
Mtaani kunajengeka taswira mbaya kwamba tatizo la ajira nchini halizingatiwi Kwa kuacha wazi nafasi Ya Makamo Mwenyekiti upande wa Tanganyika Hadi sasa kana kwamba hayupo Mtanzania wa kuijaza nafasi hiyo.
Ikijazwa nafasi hiyo, Mwenyekiti wa CCM atapata mshauri wa kusaidia baadhi ya changamoto ndani ya uongozi kuelekea uchaguzi mkuu.
Ni hayo tu,
Karibuni 🙏
Kumbe yupo Samia asiye mwana CCM🤔Msinitag kwenye mambo yenu ya siasa za Chadema na CCM.
Mimi sio mwana ccm Bali shabiki wa Samia
Tunahitaji majina mawili,ili yapigiwe kura na wajumbe!*Demokrasia ifanye kazi yake,badala ya kuja na jina la mtu mmoja,kwenye pochiHellow !!
Tatizo la ajira nchini ni kubwa, Si vyema nafasi iliyoachwa na Mzee Kinana iendelee kuwa wazi Hadi sasa,
Mtaani kunajengeka taswira mbaya kwamba tatizo la ajira nchini halizingatiwi Kwa kuacha wazi nafasi Ya Makamo Mwenyekiti upande wa Tanganyika Hadi sasa kana kwamba hayupo Mtanzania wa kuijaza nafasi hiyo.
Ikijazwa nafasi hiyo, Mwenyekiti wa CCM atapata mshauri wa kusaidia baadhi ya changamoto ndani ya uongozi kuelekea uchaguzi mkuu.
Ni hayo tu,
Karibuni 🙏
Umeandika pumba.Kumbe yupo Samia asiye mwana CCM🤔
Sasa miezi mingapi imepita nafasi ikiwa wazi? Ambapo ingejazwa mtu huyo angekuwa anaingiza kipato Kwa family na kuongeza mzunguko wa Fedha na kukuza Uchumi wa Nchi?Kuweni na subira siku litakapotajwa Jina La Makamu Mwenyekiti kwa hakika mtafurahi na kushindwa kutwa nzima mkibubujikwa na machozi ya Furaha.
Mshabiki na chawa Kuna tofauti yoyote?Umeandika pumba.
Mimi ni shabiki wa Samia ,kwani Samia akiwa mwana ccm kama wewe au mwingine nitakushabikia? Nashabikia mtu na sio chama Cha mtu.
Mbona Mwendazake alikuwa mwana ccm kwani Huwa namshabikia?
Sisi wajumbe wa CCM,hatuhitaji jina la kutajwa,tunahitaji majina zaidi ya Moja,la kupigia kura.Tusiendelee kubaka DemokrasiaKuweni na subira siku litakapotajwa Jina La Makamu Mwenyekiti kwa hakika mtafurahi na kushindwa kutwa nzima mkibubujikwa na machozi ya Furaha.
Kaa kwa kutulia usiwe na Papara.Sasa miezi mingapi imepita nafasi ikiwa wazi? Ambapo ingejazwa mtu huyo angekuwa anaingiza kipato Kwa family na kuongeza mzunguko wa Fedha na kukuza Uchumi wa Nchi?
Acheni kukalia ajira!