Nafasi ya mume. . .

Hehehehe. . . dearest nimeona nimwambie ajue maana alishadhani eti unamtokea kisirisiri.Lolzz. . . .

He he he,makubwa dearest,kumbe nilishsomeka kisirisiri??? he hunioni tena hapa,aibu...!! wako wapi mawifi wanisaidie? lol
 
Lizzy,

Nitatafuta muda nipitie hii mada,

Ila kwa ufupi hayo unayoongelea yanaelezea aina ya mwanamume.....A real husband siku zote hawezi kuruhus mtu yeyote (hata mama yake mzazi) amdhalilishe mke wake!

Heri ya mwaka mpya.....tuonane next time!!

Babu DC!!
 
Sasa Mbu hao wakaka watetewe kwa lipi?

...lol...yaani kwa umri huo haijawahi kukutokea kumtetea kaka yako, sio lazima awe tumbo moja, hata cousin?
 
....kwahiyo mkikuta kaka yenu anapigishwa deki na mbeleko ya mtoto mgongoni ilhali mke yupo barazani anapiga soga na shoga zake ni sawa tu mawifi wasiwe wakali?
 
....kaka, a real husband na a real man ni watu wawili tofauti bana, au nini mtazamo wako juu ya vyeo hivi viwili?
 
Sasa kama wenyewe mnasaidiana majukumu je? Si tutajuaje banaa! Manake inawezekana yeye ana mgeni na wewe umeona udeki, mwanao akakulilia ukaamua umbebe! Sana nikifika hapo kama sijiskii kudeki ntakuambia nipe mtoto nimsalimie. Nifanye lililonileta (kama ni mzinga wa hela ama kusalimia) kisha nikaonyeshe ufundi wa kulea mume kwangu! Ukija ukute shemejio anapepelewa na kipepea mpenzi,lol

....kwahiyo mkikuta kaka yenu anapigishwa deki na mbeleko ya mtoto mgongoni ilhali mke yupo barazani anapiga soga na shoga zake ni sawa tu mawifi wasiwe wakali?
 
Hehehehe. . . dearest nimeona nimwambie ajue maana alishadhani eti unamtokea kisirisiri.Lolzz. . . .

Hahahahahahah lol! We Lizzy acha hizo banaa lol! πŸ™‚πŸ™‚ Michelle usimsikilize huyu naona anasumbuliwa na mning'inio wa 2012 lol!
 
Moskwito, hebu jiwekee link ya ule wimbo 'bibi na bwana wakigombana nyumbani, waache wenyewe mpaka wataelewana....'
Unless I am seriously asked for an opinion, I keep my nose where it belongs babaa!

...lol...yaani kwa umri huo haijawahi kukutokea kumtetea kaka yako, sio lazima awe tumbo moja, hata cousin?
 
....Neno hilo Mkuu DC, ahsante sana.
 
....kwahiyo mkikuta kaka yenu anapigishwa deki na mbeleko ya mtoto mgongoni ilhali mke yupo barazani anapiga soga na shoga zake ni sawa tu mawifi wasiwe wakali?

Mbu kama sikuwepo wakati wanakubaliana nakaa mbali kabisa. Sitaki kujifanya natetea niishie kushushuliwa na kaka yangu.

Umenikumbusha kaka yangu alikua na girlfriend wake, jamani alikua anamfanyisha kazi mtoto wa watu akienda kumtembelea mpaka namuonea huruma. Ye anatoka na washkaji zake alafu anamwachia binti maagizo afanye usafi VIZURI, hapo kavuruga mwenyewe wiki nzima bila msaada. Alafu akirudi anapitisha kidole kuangalia kama kuna vumbi. Yeye nilimwambia asimfanyie vile mtoto wa watu (kwasababu ndio ndugu yangu) ila niliishia kuambiwa "mwenyewe halalamiki, acha afanye". Nikaona kweli hili halinihusu. Kwahiyo huko unakoona wewe ni kuonewa kunaweza kua ni kujitolea, kama mwenyewe anaona sawa afanye tu.
 
Heri ya mwaka mpya babu.

Ahsante!!
Kweli unatakiwa uwe mtetezi wa mkeo. Sio unaacha familia nzima iunde aliance dhidi yake.
 
He he he,makubwa dearest,kumbe nilishsomeka kisirisiri??? he hunioni tena hapa,aibu...!! wako wapi mawifi wanisaidie? lol

Hahahaha. . . ngoja BAK mwenyewe aje kwanza!!
 
Reactions: BAK

....kaka, a real husband na a real man ni watu wawili tofauti bana, au nini mtazamo wako juu ya vyeo hivi viwili?

Hahahahah Mbu sasa we unataka kuchokonoa mambo tu. Ni one of the same, sema tatizo ni kwamba tafsiri inaweza ikatofautiana toka mtu na mtu, tamaduni na tamaduni. Muolewaji anaweza akamwona mumewe ni "real husband. . . real man" wakati watu wa nje wanamwona sivyo.
 
Reactions: Mbu
Hahahahahahah lol! We Lizzy acha hizo banaa lol! πŸ™‚πŸ™‚ Michelle usimsikilize huyu naona anasumbuliwa na mning'inio wa 2012 lol!
Hahahaha. . . . kwahiyo unanipinga kwa nguvu zako zote?
 
Tatizo hili ni common katika familia nyingi za kwetu ! The real way to avoid it, it's better to stay far na wasababishao conflict.
Mf. Mama wa mme akiishi kwenye nyumba ya mwanae akiona ugali umetupwa huona nguvu za mwanae hazithaminiwi, haulizi kama ulichacha au laa.
Ndugu wa mume haiyumkiniki ukawapiga marufuku wasiende kwa ndugu yao, au mama asimtembelee mwanae. Ila hawatakiwi wakae kwa muda mrefu.
 
Ndio mkioa muwe mnahama sio mnabaki mtaa mmoja na ndugu hata chai wanataka kuja kunywa kwenu kila asubuhi.
 
Ndio mkioa muwe mnahama sio mnabaki mtaa mmoja na ndugu hata chai wanataka kuja kunywa kwenu kila asubuhi.

Sina hakika kama mawifi na mathor-in law wa first world nao ni wakorofi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…