Ras wakambo
Member
- Nov 22, 2011
- 71
- 6
mi bikra ngoja wataalamu waje....dah ubarikiwe wewe ni moja kati ya mia lakin hawagtangazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enter character number two,Lulu EliZabeth Michael....and the scene unfolds....Dark City
ni kweli, mtoto akianza mdogo sana napo anakuwa hajui hata nani ali-influence nini na wakati gani.
Na sijui kundi hili ni kubwa kwa kiwango gani, angalau wanaoanza wakiwa wamejitambua inaweza wasaidia.
Unajua kuna siku niliona mtoto kama wa miaka 12 to 14 na konda wa daladala kwenye daladala mida ya jioni sana na daladala linaenda ila halikuwa na abiria.
Nikawaza huyo mtoto anaweza fanyiwa chochote sababu bado yuko naive, na atadhani labda analofanyiwa kwa wakati huo ndio yanatofanyika kwa wapenzi wote.
Kongosho ulitaka kusema huwezi kumsahau hata muachane au u meant anakuwa ni bora kuliko?
Mwenzi wa kwanza anaweza akakufanya uione dunia chungu au tamu. Ana nafasi kubwa na muhimu kama mwalimu wa chekechea alivyo na nafasi kwa vitoto.