Dark City
ni kweli, mtoto akianza mdogo sana napo anakuwa hajui hata nani ali-influence nini na wakati gani.
Na sijui kundi hili ni kubwa kwa kiwango gani, angalau wanaoanza wakiwa wamejitambua inaweza wasaidia.
Unajua kuna siku niliona mtoto kama wa miaka 12 to 14 na konda wa daladala kwenye daladala mida ya jioni sana na daladala linaenda ila halikuwa na abiria.
Nikawaza huyo mtoto anaweza fanyiwa chochote sababu bado yuko naive, na atadhani labda analofanyiwa kwa wakati huo ndio yanatofanyika kwa wapenzi wote.