Jana kwenye changia chadema.mh mbowe alitoa vipaumbele vitatu pindi chadema watakapoingia madarakani mwaka 2015.ipaumbele hivyo ni:
1.elimu
2.elimu
3.elimu
walimu wanachotakiwa kufanya kuanzia sasa ni kuhubiri waziwazi mabadiliko ya uongozi wakiwa madarasani na nnje ya madarasa.mwisho kabisa ni kuhakikisha wakati wa uchaguz wanaiangusha ccm kwa namna yoyote ile..

Kweli kabisa hawa walimu waki walisha sumu ya mabadiliko hawa vijana mapema hadi kufikia 2015 sumu itakuwa imesambaa kabisa!
Walimu hebu fanyeni kweli bwana!...
Nimesha anza hilo zamani mkuu m4c mpaka darasani. Nikiingia class 4m3 wanasalimia ticha...pipozzz nawajibu powerr. Kumbuka wengi ni miaka 16-17 so ni uhakika 2015 wanapiga kura hawa.
To hell ccm.
Kweli kabisa hawa walimu waki walisha sumu ya mabadiliko hawa vijana mapema hadi kufikia 2015 sumu itakuwa imesambaa kabisa!
Walimu hebu fanyeni kweli bwana!...
nyie ndo mnaotoa kura kwa ajili ya vyakula..jitambue hujachelewa
nashindwa nianze kukusaidia wapi.maana mwalimu wako hakukusaidia kwenye nyanja kuu 2 yaani...cognitive na affective ......hili ni zao lingine la elimu movu iliyosimamiwa na ccmkwa miaka 50lilikuwa swali tu, ambalo hujajibu bado.
Mtu akupe scholarship ya kusoma kuanzia vidudu mpaka phd, lakini akunyime kula, na mwingine akupe free pass ya kula kwa miaka hiyo hiyo ya kusoma vidudu mpaka phd, lakini akunyime elimu. Wapi kuna afadhali?
Sio hawa watu waliosoma biology (walionufaika na usomi unaoutetea) wanaotuambia kwamba asubuhi ni muhimu tupate staftahi nzuri ili kazi zetu za siku nzima ziende vizuri? Na kwamba bila staftahi nzuri, tukiwa tunapiga miayo darasani hata mwalimu awe kasoma oxford kama richard mabala hatutaelewa mengi?
Unatetea sana elimu, je unaelewa basic human needs ni nini?
Katika elimu yako mpaka sasa ulishapata kukutana na "maslow hierarchy of needs" na kujua chini kabisa kuna nini?
nashindwa nianze kukusaidia wapi.maana mwalimu wako hakukusaidia kwenye nyanja kuu 2 yaani...cognitive na affective ......hili ni zao lingine la elimu movu iliyosimamiwa na ccmkwa miaka 50
mkuu hapo nadhani hukuelewa thread yenyewe, wakisema kipaumbele hawamaanish sector nyingne kama chakula wanakizi-ignore..Lilikuwa swali tu, ambalo hujajibu bado.
Mtu akupe scholarship ya kusoma kuanzia vidudu mpaka PhD, lakini akunyime kula, na mwingine akupe free pass ya kula kwa miaka hiyo hiyo ya kusoma vidudu mpaka PhD, lakini akunyime elimu. Wapi kuna afadhali?
Sio hawa watu waliosoma biology (walionufaika na usomi unaoutetea)
Lilikuwa swali tu, ambalo hujajibu bado.
Mtu akupe scholarship ya kusoma kuanzia vidudu mpaka PhD, lakini akunyime kula, na mwingine akupe free pass ya kula kwa miaka hiyo hiyo ya kusoma vidudu mpaka PhD, lakini akunyime elimu. Wapi kuna afadhali?
Sio hawa watu waliosoma biology (walionufaika na usomi unaoutetea) wanaotuambia kwamba asubuhi ni muhimu tupate staftahi nzuri ili kazi zetu za siku nzima ziende vizuri? Na kwamba bila staftahi nzuri, tukiwa tunapiga miayo darasani hata mwalimu awe kasoma Oxford kama Richard Mabala hatutaelewa mengi?
Unatetea sana elimu, je unaelewa basic human needs ni nini?
Katika elimu yako mpaka sasa ulishapata kukutana na "Maslow hierarchy of needs" na kujua chini kabisa kuna nini?