kabla sijakusaidia natakiwa kujua mambo yafuatayo:
1.elimu yako
Nimepita university mpaka multiversity, nimesoma mpaka wakafunga shule.
2.imani yako
Imani ya kutoamini
3.unakotoka
Swali halijakuwa na habari za kutosha kulipa jibu zaidi ya kusema "ninapokwenda", nimetoka kwa udongo, narudi kwa udongo
4.kabila
Kabila ndo nini?
5.umri
Wa kisaikolojia, kibaiolojia,kronolojia au upi?
6.umeoa/umeolewa
Elezea ndoa ni nini kwanza
7.chama unachoshabikia
Chama changu mwenyewe, cha mtu mmoja
8.umeachika/mahusiano
Mie mtawa kwa uchaguzi
9.kimo chako
Cha kumshinda Napoleon
10.ukuaji wa akili(cognitive development)
Wa muwamba ngoma